Mwanamitindo Layla Lace ameingia mitandao kulalamika kuwa rapa Drake anamkwepa baada ya kumpa taarifa kuwa anaujauzito wake.
Drake ambaye ametoa album mpya hivi karibu ni More Life anatajwa kuwa baba wa mtoto wa Layla Lace.
Layla Lace anasema alikutanishwa na Drake kupitia DJ Spade
wakati Drake alivyotmbelea Uingereza na walifanya ngono na baada ya siku
kadha aligundua anaujauzito.Mpaka sasa Drake na DJ Spade wamekaa kimya
kuhusu mchongo huu wa bidada,Ujumbe wa mwisho wa dada huyu kwa Drake ulikuwa
“F**K YOU Drake !!! You and I know i was good to you !!!,”
Post a Comment