Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la
Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya
Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni
Askofu Charles Salala mara baada ya kuzungumza Kanisani hapo.
Post a Comment