Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota
jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe na viongozi wengine na muwakilishi wa wananchi kuashiria
kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota jijini Dar
es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
viongozi wengine na muwakilishi wa wananchi wakishangilia baada ya
kukata utepe kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la
Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
muwakilishi wa wananchi wakifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota
jijini Dar es salaam leo.
Post a Comment