0
Image result for BLOGS & WEBSITES
Mfuko wa vyombo vya habari nchini TMF umeweka mikakati ya kuenua tasnia ya  habari nchini kwa kuwa nguvu ya ruzuku waandishi wa habari za Blog, na Tv Online kwa kuwapa msaada wa fedha na vifaa.

Razia  Mawanga Ofisa wa TMF  akizungumza na Muungwana Blog kwenye maandalizi ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, amesema kuwa TMF imkuwa mstari wa mbele kuwapa semina elekezi waandishi wa Habari wa Blog mbalimbali na Tv Online ili kuripoti masuala ya kijamii kwa uweledi wa taaluma ya uandishi wa Habari.

Amevitaka vyombo na waandishi wa habari vya Online Blog kuwasilisha mawazo yenye tija kwa umma ili wapate ruzuku kama vyombo vengine

Post a Comment

 
Top