0
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani yamefanyika leo May 1, 2017 ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku hii ambayo kitaifa imefanyika viwanja vya Ushirika wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro mgeni rasmi akiwa Rais Magufuli.
Mbali na kufanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro, lakini sherehe hizo zimefanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na hizi ni picha 17 za maadhimisho hayo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

Post a Comment

 
Top