0
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiki amemuomba radhi Muheshimiwa Rais Magufuli kwa kuwepo kwa mafuriko ya watu katika uwanja wa Ushirika Moshi kuja kumuona Rais Magufuli.

Mkuu wa Mkoa huyo ameyasema hayo Mkoani humo ambapo Kitaifa sherehe ya Maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi ilifanyika kitaifa mkoani humo.
“Mheshimiwa Rais kwa niaba ya wana Kilimanjaro tunakupongeza kwa kazi nzuri uliyoifanya toka umekuwa Rais, lakini pia naomba utusamehe mimi na kamati yangu. Hatukutegemea kama kungekuwa na mafuriko namna hii kuja kukuona Muheshimiwa Rais,” amesema RC Sadiki.

Post a Comment

 
Top