Ex wa Chris Brown Karrueche Tran amekasirishwa na baadhi ya comment kwenye picha aliyoweka akiwa na BIKINI na Bra baada ya watu kuponda muonekano wake.
Karrueche anasema “Mnaponda maumbo halisi na kusifia maumbo feki”
Karrueche anasema “Tunazidi kuponda watu mpaka wanashindwa kujipenda na kujikubali, hii sio sawa”.
Post a Comment