Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba.
Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ili afanye mambo mengi zaidi.
Rais Magufuli: Siko tayari kukaa madarakani miaka 20. Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania pic.twitter.com/tNoYANWYO5— MPEKUZI (@mpekuzihuru) August 7, 2017


Post a Comment