
Ikumbukwe pia kuwa utaratibu huu wa kuhodhi hadhi bila kuziendeleza imekuwa ni mojawapo ya chanzo cha migogoro ya ardhi nchini ikiwa ni pamoja na mauaji au mapigano kati ya wakulima na wafugaji.
Wako baadhi ya wajanja hukopa benki kwa kuweka dhamana ya hayo mashamba yasioendelezwa halafu kutumia hizo fedha kujenga maghorofa mjini.huu ni usanii unaofaa kupingwa kwa nguvu zote.

Post a Comment