Wimbo wa rapa wa Kike kutoka New York, Cardi B ulioko kwenye nafasi ya tatu katika chati za Billboard Hot 100 umefanikiwa kuuza kopi laki tano na kupata cheti cha Gold kwa mauzo hayo.
Cardi B anasema mpaka sasa hajaamini mafanikio ya rekodi hio na anavyopanga kwenye billboard.
Cardi B alianza kupata umaarufu baada ya kutoa mixtapes akiwa anafanya kazi kama Stripper kwenye club za watu maarufu nchini Marekani.
Post a Comment