0
Rapa Kendrick Lamar amevunja rekodi ya Drake kupitia mauzo ya album yake mpya ndani ya wiki moja.
Album hii ya DAMN imeuza kopi laki 603,000 kwenye wiki ya kwanza na kuwa album yenye mauzo makubwa zaidi mwaka 2017 ndani ya wiki moja na kuifunika album ya Drake More Life, iliyouza kopi 505,000 kwenye wiki ya kwanza….
Mauzo makubwa ya DAMN ni ya kwanza kwenye maisha ya muziki wa Kendrick Lamar, awali album yake ya Pimp a Butterfly iliuza kopi 324,000 kwa wiki ya

Post a Comment

 
Top