0

Ni kazi yangu kila siku kuhakikisha haupitwi na chochote kika siku, leo nimeipata hii kutoka nchini Swaziland ambapo Mfalme Mswati ameagiza kufutwa kwa utaratibu wa Talaka akidai kuwa hauendani na tamaduni za nchi hiyo.
Mfalme Mswati ametoa kauli hiyo kwa viongozi wa dini na kuwaagiza kujadili kuhusu suala hilo na kuwashawishi wananchi ili sheria ipitishwa na kuanza kutumika rasmi ingawa agizo hilo limeonekana kupingwa na wanawake ambao inasemekana wamekuwa wakiendeshwa na mfumo dume zaidi nchini humo.


Mfalme Mswati wa Swaziland ametaka kufutwa utaratibu wa Talaka, adai haziendani na utamaduni wa nchi hiyo, aagiza viongozi wa dini kujadili .

Post a Comment

 
Top