0
Jacob Zuma Kitanzini Afrika Kusini
Jacob Zuma Kitanzini Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Rais Jacob Zuma kupinga kufufuliwa kwa mashtaka ya ulaji ...

Read more »

0
Fahamu Yafuatayo Kuhusu Mfalme wa Oman Aliyeingia Zanzibar Jana
Fahamu Yafuatayo Kuhusu Mfalme wa Oman Aliyeingia Zanzibar Jana

Ujumbe wa watu zaidi ya 300 unaomwakilisha Mfalme wa Oman, Shekh Sultan Qabous Bin Said umewasili visiwani Zanzibar leo Alhamisi asubuhi ...

Read more »

0
Tegemea Kuona Yafuatayo Yakifanywa na Sudan " Omar Al-Bashir "
Tegemea Kuona Yafuatayo Yakifanywa na Sudan " Omar Al-Bashir "

Marekani imeiondola vikwazo vya kiuchumi nchi ya Sudan ikisema taifa hilo limeanza kuangazia maswala kuhusu kukabiliana na ugaidi pamoja ...

Read more »

0
Trump kuitosa Iran mkataba wa nyuklia
Trump kuitosa Iran mkataba wa nyuklia

Rais wa Marekani, Donald Trump amepanga kuiondoa Marekani katika mkataba wa nyuklia kati ya nchi za Magharibi na Iran ili kuiadhibu nchi ...

Read more »

0
#HISPANIA | Hali Si Shuari Kabisa Ndani Ya Catalonia
#HISPANIA | Hali Si Shuari Kabisa Ndani Ya Catalonia

Siku chache baada ya watu katika jimbo la Catalonia kuandamana kushinikiza kujitenga na Hispania, wale wanaopinga juhudi za jimbo hilo ku...

Read more »

0
Mke wa Mugabe ashtukia mpango wa kumpindua Mumewe
Mke wa Mugabe ashtukia mpango wa kumpindua Mumewe

Mvutano mkubwa unaoendelea nchini Zimbabwe hususan katika chama tawala cha Zanu- PF kuhusu mrithi wa Rais Robert Mugabe umeibua mazito ba...

Read more »

0
Mpinzani wa Kagame afikishwa mahakamani Rwanda
Mpinzani wa Kagame afikishwa mahakamani Rwanda

Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda Diane Rwigara, mama yake pamoja dada yake wamefikishwa mahakamani mjini Kigali kwa mara ya kwanza wi...

Read more »

0
#Zimbabwe | Nguo za ndani sio siri tena !!!!!
#Zimbabwe | Nguo za ndani sio siri tena !!!!!

Mwandishi wa Zimbabwe ambaye alikamatwa baada ya kuandika habari iliodai kwamba mbunge mmoja aligawanya nguo za ndani za mitumba kwa wafua...

Read more »

0
Vyombo vya habari vyapigwa marufuku kufanya mahojiano na Mbunge
Vyombo vya habari vyapigwa marufuku kufanya mahojiano na Mbunge

Tume ya mawasiliano nchini Uganda (UCC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kufanya mahojiano na Mbunge wa upindani Bobi Wine,...

Read more »

0
#Cameroon | Wanajeshi waua watu wanane kwenye maandamano ya ‘uhuru’
#Cameroon | Wanajeshi waua watu wanane kwenye maandamano ya ‘uhuru’

Wanajeshi nchini Cameroon wamewaua watu wanane katika maandamano ya kudai uhuru wa eneo la watu wanaozungumza lugha ya Kiingereza nchini ...

Read more »

0
Siasa zazidi kuitafuna Catalunya, makamu wa raisi abwaga manyanga Barcelona
Siasa zazidi kuitafuna Catalunya, makamu wa raisi abwaga manyanga Barcelona

Hali ya kisiasa nchini Hispania sio nzuri hata kidogo, siku ya jana kulitokea machafuko na polisi kuwaladhimu kutumia nguvu za ziada kuwa...

Read more »

0
PALESTINA YAJIUNGA TAASISI YA POLISI WA KIMATAIFA YA INTERPOL
PALESTINA YAJIUNGA TAASISI YA POLISI WA KIMATAIFA YA INTERPOL

Mkutano Mkuu wa Taasisi ya Polisi wa kimataifa wa kuzuia uhalifu wa kijinai “Interpol”, umekubali kujiunga kwa Palestina katika taasisi h...

Read more »

0
#AJALI | Ndege ya Kijeshi Yaanguka DR Congo
#AJALI | Ndege ya Kijeshi Yaanguka DR Congo

Ndege ya kijeshi imeanguka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuwaua abiria wote. Maafisa wa maswala ya angani wamesema kuwa n...

Read more »

0
Fahamu Sababu Ya Obama Kutokwa na machozi
Fahamu Sababu Ya Obama Kutokwa na machozi

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema kuwa hakuweza kuzuia machozi yake alipomfikisha mwanawe mkubwa Malia katika chuo kikuu. ...

Read more »

0
Mke wa Jose Chameleone Ashuhudia Mmewe Akitandikwa Mabanzi na P-Funk Majani Kampala
Mke wa Jose Chameleone Ashuhudia Mmewe Akitandikwa Mabanzi na P-Funk Majani Kampala

Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo fleva, na wa afrika mashariki kwa ujumla matumaini yangu ni kwamba mnamjua mtayarishaji wa beats maa...

Read more »

0
#PICHA | Wabunge Uganda Wazichapa Ngumi Kavu Kavu Bungeni, Kisa Kizima Hichi Hapa
#PICHA | Wabunge Uganda Wazichapa Ngumi Kavu Kavu Bungeni, Kisa Kizima Hichi Hapa

Wabunge Uganda wakigombana ndani ya ukumbi wa bunge baada ya kupishana kuhusu muswada wa marekebisho ya katiba, kipengele cha umri wa Rais...

Read more »

0
Rais Mugabe Amchimba Mkwara Trump ‘Hakuna Taifa Dogo Kijeshi’
Rais Mugabe Amchimba Mkwara Trump ‘Hakuna Taifa Dogo Kijeshi’

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemuonya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwa asijidanye kwa ulimwengu huu wa teknolojia kwamba Marekani i...

Read more »

0
Uganda Mambo Yaharibika tena Upya
Uganda Mambo Yaharibika tena Upya

Kiongozi mkuu wa chama cha Former Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa leo saa moja kabla ya Bunge kuanza kujadi...

Read more »

0
Jaji aliyefuta matokeo ya Uchaguzi Kenya Atikisa Jiji la Dar
Jaji aliyefuta matokeo ya Uchaguzi Kenya Atikisa Jiji la Dar

Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ametua nchini katika mkutano wa majaji na mahakimu akionekana kivutio kwa wengine. Jaji huyo ni mmoj...

Read more »

0
Angela Merkel aibuka mshindi nchini Ujerumani
Angela Merkel aibuka mshindi nchini Ujerumani

Kansela wa ujerumani , Angela Merkel ameibuka kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu nchini humo kwa kipindi cha nne. Hata hivyo mamlaka yake i...

Read more »
 
Top