Timu ya Taifa ya Nigeria imekuwa ya kwanza kutoka barani Afrika kufuzu Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi baada ya kufanya vyema kwenye m...
#HISPANIA | Hali Si Shuari Kabisa Ndani Ya Catalonia
Siku chache baada ya watu katika jimbo la Catalonia kuandamana kushinikiza kujitenga na Hispania, wale wanaopinga juhudi za jimbo hilo ku...
Fahamu Yafuatayo Kutoka Bayern Munich " Jupp Heynckes "
Klabu ya Bayern Munich imemteua aliyekuwa kocha wake wa zamani Jupp Heynckes kuwa kocha mpya wa klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huu kufua...
Maamuzi Ya Andres Iniesta Yawashangaza Wengi - FC Barcelona
Kiungo na nahodha wa FC Barcelona Andres Iniesta amesaini mkataba wa kudumu ambao utamuwezesha kuendelea kuitumikia klabu hiyo katika mai...
Timu ya Simba Kiboko, Mwendo wa Ushindi tu
Klabu ya soka ya Simba imeibuka na ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Dodoma FC uliopigwa leo jioni kwenye uwanja wa Jamhuri mjini...
#TBT | Siasa zashindwa kumzuia Messi kufunga, Liverpool wabanwa mbavu
Phellipe Coutinho alifunga bao lake la 17 nje ya Box tangu ajiunge na Liverpool na hivyo kumfanya kuwa mchezaji wa Epl mwenye mabao mengi...
Simba SC inaongoza ligi baada ya ushindi wa Stand United Shinyanga
Stand United wameiruhusu Simba iongoze ligi kuu Tanzania bara baada ya kuchapwa 2-1 kwenye uwanja wao wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga. ...
Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
Habari kubwa sana mwishoni mwa wiki iliyopita na mwanzo mwa wiki hii ni suala la upigaji kura kwa raia wa Catalunya ambao ulitakiwa kufan...
Kichuya kaweka rekodi ya kufunga October 1 mfululizo
Kiungo mshambukiaji wa Simba Shiza Kichuya anejitengenezea rekodi ya aina yake baada ya kufanikiwa kufunga siku ya October 1, katika misi...
Siasa zazidi kuitafuna Catalunya, makamu wa raisi abwaga manyanga Barcelona
Hali ya kisiasa nchini Hispania sio nzuri hata kidogo, siku ya jana kulitokea machafuko na polisi kuwaladhimu kutumia nguvu za ziada kuwa...
Kama Unampago wa kucheza mchezo huu, Zingatia sana Yafuatayo
Ruzo Boniface Amlima alifariki dunia baada ya kujirusha toka ghorofa ya 13 wakati akizindua mchezo wa kujirusha toka ghorofani. Huu ...
#FAHAMU | Je Diego Costa Amepeleka nini Athletico Madrid?
Tayari Diego Costa yuko Hispania lakini hataweza kuitumikia klabu hiyo hadi mwezi wa kwanza kutokana na kifungo cha usajili kinachoikab...
Steph Curry na Donald Trump waingia katika mzozo mzito
Wamerakani weusi wengi wamekuwa hawapendi sera za raisi mpya wa nchi hiyo Donald Trump, mmoja kati ya watu ambao wameonesha wazi hisia zao...
Kocha wa Borussia Dortmund aweka rekodi ambayo haijawahi tokea Bundesliga
Ligi kuu nchini Ujerumani almaarufu kama Bundesliga inaendelea huku klabu ya Borussia Dortmund ikiendelea kushikilia usukani wa ligi hiyo...
Mbao wameivuruga rekodi ya Simba
Mbao FC imekuwa timu ya kwanza kufunga goli dhidi ya Simba tangu kuanza kwa msimu huu 2017/2018. Simba walimudu kucheza mechi tatu bila...
Kocha wa Psg atoa maamuzi kuhusu nani wa kupiga penati kati ya Cavanni na Neymar
Katika habari ambayo imegonga sana vichwa vya habari wiki hii baasi ni mvutano kati ya msgambuliaji ghali duniani Neymar Dos Santos na ms...
Atletico Madrid imefikia makubaliano na Chelsea katika kumsajili Diego Costa,
#ESPN Wameripoti kuwa Klabu ya Atletico Madrid imefikia makubaliano na Chelsea katika kumsajili Diego Costa, Atafanyiwa vipimo vya afya ...
Gud newz kutoka Morroco kwa Msuva - El - Jadida
WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amecheza kwa dakika zote 90 timu yake, Difaa Hassan El - Jadida ikilazimishwa sa...
TANZIA: Golikipa " Mutuyimana " Hatuko nae tena
Golikipa wa Rayon Sports, Evariste Mutuyimana aliyedaka kwenye mechi dhidi ya Simba siku ya Simba Day jijini Dar es Salaam katika uwanja...
Picha | Mambo 6 Yakufahamu kuhusu gari mpya ya Cristiano Ronaldo
Staa wa soka anayecheza na Real Madrid Cristiano Ronaldo,32, kwa sasa anatumia gari yake mpya aina ya Ferrari F12 TDf yenye thamani ya ...





