0
Staa wa soka anayecheza na Real Madrid Cristiano Ronaldo,32, kwa sasa anatumia gari yake mpya aina ya Ferrari F12 TDf yenye thamani ya Pound £350,000 [Tz Sh 1,035,626,582.90] [Bei hii hutegemea na Ulichotaka kiwekwe kwenye gari hio ]
Kwenye picha anaonekana Ronaldo na mtoto wake akiwa kwenye kiti cha dereva kwenye gari hio
Model Yake ni>Ferrari F12 TDf
Bei yake ni Pound>£350,000+
Speend>0-60mph ndani ya sekunde 2.9 seconds
Speed>0-120mph Ndani ya sekunde 7.9 seconds
Uzito wake>1415kg Likiwa Tupu
Engine>6.3-litre V12 

Post a Comment

 
Top