Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha Super doll kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam mchana wa leo, na kuteketeza mali za kiwanda h...
Yusufu Manji Aiona Dunia Chungu, Machozi Live !!!!!
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifunga ofisi za kampuni ya mfanyabiashara Yusufu Manji kutokana na kudaiwa Sh 12.2 bilioni. M...
Sababu iliyosababisha Vipodozi vya Rihanna kupigwa marufuku kwenye soko la China.
Baada ya kutoa Vipodozi vyake staa wa RnB Rihanna amepokea taarifa mbaya kuwa bidha zake za Fenty Beauty hazitapata ruhusa ya kutingi...
Picha | Mambo 6 Yakufahamu kuhusu gari mpya ya Cristiano Ronaldo
Staa wa soka anayecheza na Real Madrid Cristiano Ronaldo,32, kwa sasa anatumia gari yake mpya aina ya Ferrari F12 TDf yenye thamani ya ...
Mgodi wa WDL Uliokamatwa Ukitorosha Almasi Wafungwa
Uongozi wa Kampuni ya Williamson Diamonds Limited (WDL) umesitisha kwa muda baadhi ya shughuli za uzalishaji katika mgodi huo. Ta...
Lugumi tayari amepoteza nyumba moja na mnada Unaendelea
Kampuni ya udalali ya YONO imesimamia shuguli za kuuzwa kwa mnada gorofa lililopo upanga mali ya kampuni ya Lugumi Enterprises Limited n...
PIZZAHUT YAONGEZA MIGAHAWA DAR, YAFUNGUA MWINGINE MLIMANI CITY NA OYSTERBAY
Idadi ya migahawa ya PizzaHut ambayo ni maarufu kwa uuzaji wa piza zenye viwango vya kimataifa imezidi kuongezeka kwa hapa nchini ambapo ...
Tanzania Yatajwa Kwenye Orodha ya Nchi Zenye Mishahara Mikubwa Afrika
Shirika la Numbeo limetoa orodha ya nchi kumi zenye mishahara mikubwa zaidi barani Afrika. Hili ni shirika kubwa zaidi duniani la ukusanya...
Mahakama Yaigomea TRA Kumhoji Manji
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 9, 2017 imeukatilia upande wa Serikali kutaka Mfanyabiashara Yusuf Manji ahojiwe na Mamlaka ya...
#Picha // Drake awekeza kwenye biashara ya migahawa ya chai na kahawa
Rapa Drake ametajwa kuwa mwekezaji mpya kwenye biashara ya migahawa ya chai na kahawa ya New York # MatchaBar . Kwa sasa kampuni hi...
Mtoto wa Chris Brown atambulisha bidha zake za nguo na vipodozi….
Mtoto wa kwanza wa Chris Brown , Royalty mwenye umri wa miaka 3 anafata nyayo za Baba yake, Leo kupitia wazazi wake mtoto huyu maaruf...
#FORBES // Dongote Aporomoka kwenye list ya matajiri wa Dunia
Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote ameshuka katika nafasi ya watu matajiri duniani hadi 105 kutoka nafasi ya 51. Jarida la Forbes lime...
#HOT // Acacia Yalipa Ushuru Milioni 460
Mgodi wa dhahabu wa Acacia Bulyanhulu (BGML) uliopo katika Halmashauri ya Msalala, mkoa wa Shinyanga jana Jumatano Julai 26,2017 umekabidhi ...
Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos atangazwa tajiri namba 1 duniani baada ya kumpita Bill Gates leo
Mwanzilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos amempita Bill Gates na kuwa tajiri namba moja duniani akimiliki utaji wa dola za kimarekani ...
Mwana FA na AY Waendelea Kutamba Mahakamani
Wasanii wakongwe wa Bongo Flava, Ambwene ‘AY’ Yesaya na Hamisi ‘Mwana FA’ Mwinjuma wameendelea kupeta mahakamani wakitarajiwa kulipwa kia...
TRA Yaidai ACACIA Trilioni 425 kwa Kukwepa Kodi Tangu Mwaka 2000
Kampuni ya Acacia imeeleza kuwa imepokea taarifa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayoonyesha kuwa migodi yake ya Bulyanhulu inad...
Mrembo anaswa airport na iPhone 102 kiunoni akiziingiza China
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa Shenzhen nchini akitokea Hong Kong na simu ...
Mkurugenzi wa Star TV Aburuzwa Mahakamani
Diallo , Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na K...
ISABEL DOS SANTOS " FIRST AFRICAN FEMALE BILLIONAIRE "
Bi Santos amechukua udhibiti wa benki hiyo ya BFA baada ya kampuni yake kununua hisa zaidi katika benki hiyo na kudhibiti zaidi ya asilimi...
Waziri Mpango akifunga kituo cha GBP kilichopo eneo la Uwanja wa Ndege, Dar
Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Uwanja...








