April 14 wasanii wa Bongofleva kutoka record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize & Rich Mavoko wameachia wimbo wao mpya walioshirikiana unaitwa ‘Show Me’ wimbo huo kwa sasa umeachiwa exclusive wasafi.com na unaweza ku-download kwa Tsh 300 producer ni Lizer wa wasafi records.
Unaweza kubonyeza HAPA kupata link itakayokupa maelekezo ya ku-download wimbo huo mpya
Post a Comment