0

Ulimwenguni sayansi na technolojia imeendelea kukuwa kwa kasi sana kupelekea tishio sasa la watu kuanza kufunga ndoa na Marobot kama wake au waume na kuishi maisha ya kimapenzi.
Wakati wasiwasi ukiendele kutanda kuwa Roboti anaweza kuchukua nafasi ya kimapenzi kwa mwenza wako na akafanya vizuri zaidi, Maumbile ya marobiti yameendelea kuboreshwa hatakufikia kuwa na mvuto kama binadamu wa kawaida.

Wataalamu wa tekinolojia wameendela kueleza kuwa marobot wanaendelea kuboreshwa zaidi na kufanana zaidi na binadamu ilikuweza kuamsha hisia za kimapenzi.

Dr Kevin Curran, mshirika mkogwe wa Institute of Electronic napia ni  ‘Electrical Engineer’ na ni ‘computer scientist’ wa chuo kikuu cha Ulster, amezidi sema ujio wa ‘cloud computing’ unaweza ongeza ubora zaidi wa robot hao kuwa natabia na mienendo itakayo fanana zaidi na binadamu wa kawaida.

Post a Comment

 
Top