Taarifa kutoka Washington zinasema kuwa mmoja wa washauri muhimu sana wa
Rais Donald Trump Sebastian Gorka anatarajia kujiuzulu nafasi hiyo.
Gorka mjuzi wa masuala ya usalama wa taifa anashutumiwa kuvaa medali
aliyozawadiwa na kikundi kimoja kutoka nchini Hungary ambacho kina
uhusiano na mfumo wa Kinazi.
Kabla ya kufanya kazi na Trump, Gorka alikuwa mhariri wa tovuti iitwayo Breitbart.
Post a Comment