Everton Yaifunga Gor Mahia 2 - 1, Rooney afanya Yake live #Taifa 0 michezo 9:26 AM A+ A- Print Email Mpira umekwisha kwa Everton kushinda bao 2-1, magoli yakifungwa na Rooney dakika ya 35 kabla Tuyisenge wa Gor Mahia kusawazisha dakika mbili baadaye. Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.
Post a Comment