Wasanii wa kundi la P-Square wamepinga vikali mpango wa serikali ya Nigeria wa kupiga marufu video za muziki na Filamu za WaNigeria kufanyika nje ya nchi.
Paul na Peter Okoye wamelalamika kupitia Instagram zao
Peter ameandika >Muda mwingine naona aibu kuitwa Mnigeria, Serikali yate imekuwa ikituangusha toka mwaka 1960.
Post a Comment