Msanii wa lebo ya Triple MG nchini Nigeria Tekno,amethibitisha ujio wa album yake ya kwanza na kusema itakuwa album tamu kuliko.
Tekno hajatoa tarehe maalum ya ujio wa cd hii, kwenye IG Yake kaweka ujumbe huu “My music music sweet!!! Best album you ever heard!!!”.
Tekno ni miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika na nje pia kutoka na Hits zake kamaDuro na Pana
Post a Comment