
Filamu hii ambayo imetengenezwa kwa viwangi vya kimataifa itapatikana kwenye APP Ya simu za mkononi, [ Nenda Google PlayStore, Tafuta WEMA SEPETU APP, Download It, Na Subscribe ili uweze kupata access ya kununua, kudownload na kuangalia Heaven Sent ] na kwa kiasi cha shilingi 500 utaweza kutazama dakika 30 za filamu hii na Movie ina Saa 1 na dakika 30, Ukitaka kuipakua ‘Download’ yote utalipia Shilingi 1500 tu,
Kwenye Heaven Sent yupo Wema Sepetu na mwigizaji bora wa kiume Tanzania Gabo Zigamba
Post a Comment