
Rapa huyu alikuwa akitambulisha kipengele flani na mtangazaji Terrence J na alijikuta akipangiwa kusema ‘Nicki, What’s Good‘ mstari ambao Nicki aliwahi kuutumia kwenye beef lake na Miley Cyrus kwenye tuzo za Video za MTV mwaka 2015.
Mashabiki wa Nicki Minaj wamechukizwa na jambo hili sababu wanaimani Remy anatumia KIKI la Nicki Minaj kutangaza muziki wake.
Post a Comment