0

Blog za udaku na mitandao ya kijamii Marekani inaongelea stori maarufu ya mtoto wa Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama ‘Sasha Obama’ mwenye umri wa miaka 16 akipewa busu na kijana anayetajw akuwa ni mpenzi wake kwenye tamasha la muziki la LollaPalooza.
Image result for sasha obama 2017
Weekend Hii Sasha na dada Yake Malia Obama walikuwepo kwenye tamasha hili wakila bata na kujiachia.

Post a Comment

 
Top