0
Mwigizaji maarufu HollyWood Will Smith amesajiliwa kuigiza filamu kuhusu maisha ya Barack Obama, na rais huyu mstaafu wa Marekani amemkubali.
Will Smith ataigiza kama Barack Obama, Smith anasema>Nimeongea na Barack Obama,ameniambia anaimani kuwa nina masikio ya kuigiza kwenye husika hii”
Will Smith aliwahi kuigiza kama Muhammad Ali na kufanikiwa kuelezea vizuri stori yake.

Post a Comment

 
Top