Mwenyekiti
wa bodi ya Parole Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James
Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila
mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.
Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo.
BONYEZA PICHA KUSIKILIZA MANENO YA MREMA
Post a Comment