Nyumba hiyo ya Pogba iliyopo Cheshire imemgharimu pound milioni 2.9 ambazo ni zaidi ya Bilioni 8 za kitanzania na unaambiwa hiyo ni baada ya punguzo la pound 600,000 kutoka bei ya awali ya nyumba hiyo yenye vyumba vitano vya kulala, sehemu ya games na nakshinakshi mbalimbali ikiwemo swimming pool.
PICHA 10: ITAZAME NYUMBA MPYA YA MCHEZAJI WA MAN UNITED " PAUL POGBA "

Post a Comment