0
Image result for FOOTBALL PITCH AND BALL
Kwa mujibu wa kanuni, Simba ndio wenyeji wa mchezo huo kwa sababu ndio walikuwa wa kwanza kufuzu kucheza fainali kwa kuifunga Azam kwenye mchezo wa nusu fainali kabla ya Mbao ambao waliifunga Yanga kwenye nusu fainali kwenye uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Kabla ya uwanja wa Jamhuri-Dodoma haujatajwa kuwa ndio utatumika kwa ajili ya fainali ya FA Cup, kulikua na mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii ambapo wadau wa soka nchini walikuwa wakijadili tweet ya Rais wa TFF kwamba kutakuwa na droo ya kutafuta uwanja utakaotukika kwa ajili ya fainali hiyo.

Post a Comment

 
Top