Tume ya uchaguzi nchini Korea Kusini imesema imeandikisha wagombea urais
15 kutoka vyama mbalimbali watakaoshiriki kwenye uchaguzi mkuu
unaotarajiwa kufanyika Mei 9 nchini humo, na idadi hiyo ya wagombea
imeweka rekodi mpya katika historia. Kwa mujibu wa tume hiyo, kampeni
rasmi za uchaguzi zitaanza tarehe 17 Aprili hadi tarehe 8 mwezi Mei.
Post a Comment